WASANII BONGO MUVI Wapata SHAVU, Sasa KAZI ZAO Kupelekwa KIMATAIFA..
WASANII BONGO MUVI Wapata SHAVU, Sasa KAZI ZAO Kupelekwa KIMATAIFA.. Bodi ya Filamu nchini leo imemkutanisha mmilikiwa kituo cha luninga ya mtandaoni ya Nuella TV, Bwana Charles Liburd kutoka nchini Uholanzi na wadau wa filamu nchini ambapo amewaelezea nia yake ya kununua filamu za wasanii wa hapa nchini na kuzitumia kwenye luninga yake hiyo. Akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar, Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu nchini, Dkt. Kiango Kilonzo amesema Bwana Liburd ameletwa hapa nchini na serikali ya Tanzania baada ya kuuchunguza mpango wake na kubaini jinsi unavyoweza kuwaingiza wadau wa filamu hapa nchini katika soko la kimataifa na kuwainua kiuchumi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline