OFFICIAL LYYN RASMI KWENYE BONGO FLEVA/ CHAFU NIMEANDIKIWA
Baada ya kufanya kazi ya Video Vixen kwa muda sasa na kupata umaarufu mkubwa kwenye Game ya Bongo Fleva Mrembo Officiallyyn ameamua kugeukia kwenye upande wa kuimba na kuonyesha kipaji chake kingine katika Tasnia.